Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Imani

HEKIMA YA MUNGU IJULIKANE ULIMWENGUNI KUPITIA KANISA: SEHEMU 2

HEKIMA YA MUNGU IJULIKANE ULIMWENGUNI KUPITIA KANISA: SEHEMU YA 1

UNYAKUO, JE UTAKUWEPO?

KANISA NI MOJA TU - KANISA NI MALI YA MUNGU SI MTU BINAFSI: SEHEMU 4

KANISA NI MOJA TU - KANISA NI MALI YA MUNGU SI MTU BINAFSI: SEHEMU 3

KANISA NI MOJA TU - KANISA NI MALI YA MUNGU SI MTU BINAFSI: SEHEMU 2

KANISA NI MOJA TU - KANISA NI MALI YA MUNGU SI MTU BINAFSI: SEHEMU 1

KARAMA NA MIUJIZA: SEHEMU YA 4 (MWISHO)

KARAMA NA MIUJIZA: SEHEMU 2

KARAMA NA MIUJIZA: SEHEMU YA 1

KWANINI NILIACHA UISLAM: SEHEMU YA 6 (MWISHO)

KWANINI NILIACHA UISLAM: SEHEMU YA 5

KWANINI NILIACHA UISLAM: SEHEMU YA 4

KWANINI NILIACHA UISLAM: SEHEMU YA 3

KWANINI NILIACHA UISLAM: SEHEMU YA 2

KWANINI NILIACHA UISLAM: SEHEMU YA 1

DHAMBI YA MAAGANO (LAANA YA UKOO) part 03

 inaendelea, sambamba na mwamdishi Late, Mwl. Godwin Dihigo. Je fundisho la kuridhi Dhambi wachungaji wamelipata wapi?   Uwenda pengine wachungaji wengi hawajaelewa fundisho lililopo katika Kuto 20: 4-6   Lakini hawajaelewa au khawataki kuwaambia ukweli washirika wao juu ya maana ya fundisho lililopo Kuto 20:5-6 katika mlango huo Mungu anasema Usijifanyie sanamu ya kuchonga wala mfano wa kitu chochote   kilichojuu mbinguni wala kilicho chini duniani wala kilicho majini chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvitumikia kwa kuwa mimi Bwana Mungu wako ni Mungu mwenye wivu nawapatiliza wana uovu wa Baba zao Kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao. Nami nawarehemu maelfu Elfu wanipendao na kuzishika amri zangu.   Manabii, wachungaji na Waalimu wa uongo uwafundisha kuwa watu wanaweza kurithi dhambi za Baba zao kwa sababu Mungu amesema anawapatiliza Watoto kizazi cha tatu mpaka kizazi cha nne kwa maovu ya Baba zao.   Kwa wale wasiochunguza maandik...

DHAMBI YA MAAGANO (LAANA YA UKOO) part 02

 Pamoja na Late, Mwl. Godwin Dihigo. JE MTU ANAWEZA KURITHI DHAMBI? Kila mkristo anapaswa kuiga mfano wa watu wa Beroya. Watu hawa wa Beroya Paulo aliwasifu sana kwa hekima yao ya kutokuamini jambo bila kulichunguza. Hawakuona kuwa ni busara kumuamini Paulo eti kwa sababu ni mtume bali waliyachunguza yale asemayo kama yalikuwa sahihi.   Tunasoma ukweli huo katika Matendo 17:10-12 Mara hao ndugu wakawapeleka Paulo na Sila usiku hata Beroya nao walipofika huko wakaingia katika Sinagogi la Wayahudi. Watu hawa walikuwa waungwana kuliko wale wa Thesalonike kwa kuwa waliyachunguza maandiko kila siku waone kwamba mambo hayo ndivyo yalivyo. Basi wengi miongoni mwao wakaamini na wanawake wa Kiyunani wenye cheo na wanaume si wachache.   Ukisoma kwa makini mlango huu utagundua kuwa kuna watu wa aina mbili.   1. Wale wa Thesalonike na 2. Wale wa Beroya   Lakini Paulo anawasifu watu wa Beroya kwa kuyachunguza maandiko. Si kila kitu anachosema mwanadam...

DHAMBI YA MAAGANO (LAANA YA UKOO) part 01

 Na late, Mwl. Godwin Dihigo. Katika kitabu cha Muhubiri sura ya 7:29 tunasoma maneno haya; “Tazama hili tu nimeliona, Mungu amemfanya mwanandamu mnyofu lakini wamebuni mavumbuzi mengi”   Sijawahi kusoma mahali popote katika biblia panaposema mtu aliyeokoka kweli kweli uwokovu uliyo sahihi anaweza kubaki na laana ya maagano ya ukoo.   Tena si yake yeye mwenyewe bali ya mababu na mabibi waliyoagana nayo zamani. Sijawahi kusoma maneno ya Mungu yanayosema mtoto anaweza kurithi dhambi ya baba na mama yake au niseme dhambi ya ukoo wao. Haya ni maneno ya kutegenezwa na wachungaji ili wajipatie faida.   Mungu alijua hili, ndiyo maana alituonya mapema   Tunasoma katika 2 Petro 2:1-3 maneno haya “Lakini waliondokea manabii wa uongo katika wale watu, kama vile kwenu watakavyokuwako walimu wa uongo watakaoingiza kwa warevu, uzushi wa kupoteza wakimkana hata Bwana aliyewanunua, wakijiletea uharibifu usiokawia. Na wengi watafuata ufisadi wao na kwa hao nj...

🕊️ Papa Leo XIV: Siri za Kiongozi Mpya wa Kanisa Katoliki.

Utambulisho wa Papa Leo XIV Mnamo Mei 8, 2025, Kanisa Katoliki lilimchagua Kardinali Robert Francis Prevost kutoka Chicago kuwa Papa mpya, akichukua jina la Papa Leo XIV. Hii ni mara ya kwanza kwa Papa kutoka Marekani, na pia ni Papa wa kwanza kutoka Shirika la Agustino. Alihudumu kwa zaidi ya miaka 20 nchini Peru kama mchungaji na askofu, na baadaye kuwa Kardinali na mkuu wa taasisi muhimu za Vatican. Kiongozi wa Kimataifa na Mchungaji wa Kijamii Papa Leo XIV anajulikana kwa msimamo wake wa kijamii na upendo kwa haki. Aliwahi kukosoa sera za uhamiaji za utawala wa Rais Donald Trump, akipinga sera za kuwazuia wakimbizi na kuunga mkono haki za wafanyakazi. Hii inadhihirisha kuwa yeye ni kiongozi mwenye msimamo wa wastani, mwenye mtazamo wa kisasa na wa haki. Msimamo wa Kidini na Uongozi wa Sinodi Papa Leo XIV anasisitiza umuhimu wa umoja katika Kanisa na ushirikiano wa waumini wote. Anaamini kuwa Roho Mtakatifu anatuongoza kuelekea mabadiliko, na anahimiza Kanisa kuwa na moyo ...